132 107 17MB
Swahili Pages [154] Year 2018
JAMHURI YA KENYA
Mali ya Serikali ya Kenya
HAKIUZWI
Kiswahili Mazoezi ya Lugha Kitabu cha Mwanafunzi
1
Yaliyomo Utangulizi ......................................................... ii Dibaji ............................................................... ii Karibu darasani 1 .................................... 1 (Kipindi cha 1 hadi 5) Mimi na wenzangu 1 ....................................... 6 (Kipindi cha 6 hadi 10) Tarakimu 1 ......................................................... 11 (Kipindi cha 11 hadi 15) Siku za wiki 1 ................................................... 16 (Kipindi cha 16 hadi 20) Familia 1 ............................................................ 21 (Kipindi cha 21 hadi 25) Familia 1 ............................................................ 26 (Kipindi cha 26 hadi 30) Mwili wangu 1 ................................................... 31 (Kipindi cha 31 hadi 35) Mwili wangu 1 ................................................... 36 (Kipindi cha 36 hadi 40) Usafi wa mwili 1 ............................................. 41 (Kipindi cha 41 hadi 45) Usafi wa mwili 1 ............................................. 46 (Kipindi cha 46 hadi SO) Marejeleo 1 ...................................................... 51 (Kipindi cha 51 hadi 55) Vyakula vya kiasili 1 ....................................... 56 (Kipindi cha 56 hadi 60) Vyakula vya kiasili 1 ....................................... 61 (Kipindi cha 61 hadi 65) Mimi na wenzangu 2 ....................................... 66 (Kipindi cha 66 hadi 70)
Mimi na wenzangu 2 ....................................... 71 (Kipindi cha 71 hadi 75) Siku za wiki 2 ................................................... 76 (Kipindi cha 76 hadi 80) Tarakimu 2 ......................................................... 81 (Kipindi cha 81 hadi 85) Familia 2 ............................................................ 86 (Kipindi cha 86 hadi 90) Familia 2 ............................................................ 91 (Kipindi cha 91 hadi 95) Usafi wa mwili 2 ............................................. 96 (Kipindi cha 96 hadi 100) Marejeleo 2 ................................................... 101 (Kipindi cha 101 hadi 105) Mwili wangu 2 ................................................ 106 (Kipindi cha 106 hadi 110) Mwili wangu 2 ................................................ 111 (Kipindi cha 111 hadi 115) Usafi wa mwili 3 .......................................... 116 (Kipindi cha 116 hadi 120) Usafi wa mwili 3 .......................................... 121 (Kipindi cha 121 hadi 125) Vyakula vya kiasili 2 .................................... 126 (Kipindi cha 126 hadi 130) Vyakula vya kiasili 2 .................................... 131 (Kipindi cha 131 hadi 135) Mimi na wenzangu 3 .................................... 136 (Kipindi cha 136 hadi 140) Tarakimu 3 ...................................................... 141 (Kipindi cha 141 hadi 145) Marejeleo 3 ................................................... 146 (Kipindi cha 146 hadi 150)
© 2021 ya RTI International kwa nchl zote lsipokuwa Jam hurl ya Kenya. RTI International nl alama na Jina la klblashara la Research Triangle Institute. Hakl ya Kunaklll ya Jamhurl ya Kenya lnashlklliwa na wizara ya elimu Kenya. Chapisho hill limefanlklshwa kupitla kwa ufadhlli kutoka kwa shlrika la klmataifa na maendeleo la America [USAID) ku pitla mradi wa USAID-Tusome.
Kazi hll lnapatikana chlnl ya lesenl ya Attribution-NonCommerclal-NoDerlvatlves 4.0 International (CC BY-NC-ND 4.0). 111 kuona nakala ya lesenl hll, tembelea https://creatlvecommons.org/llcenses/by-nc-nd/4.0/ ama tuma barua kwa Creative Commons, sanduku la posta 1866, Mountain View, CA 94042, USA. Kunukuu na kutambua kazl aslll - Uklnaklll na kusambaza kazl hll tafad hall nukuu kama ifuatavyo: /menak/1/wa kutokana na kazl as/// )111 RT/ International no kuruhuslwa chin/ )111 lesenl ya Attributlon-NonCommerclal-NoDerlvat/ves 4.0 International {CC BY-NC-ND 4.0). SI ya Blashara - Usltumle kazl h II kwa nla ya blashara . SI ya Kulgalga na Kusambazwa - Usisambaze kazl hll kama utaifanyla mabadiliko kazi asili pamo)a na kuichanganya na kazi nyingine, kuitumla kama msingi wa kazl nylngine au kuibadllisha kwa n)la yoyote lie. Kazi ya mtu wa tatu - Slo lazima RTI International kumillkl klla klpengele cha maudhul yallyomo katika kazl hll. Hlvyo basl, RTI International halkuhaklklshll ya matumlzl ya klpengele chochote cha kazl ya mtu mwlngine au baadhl ya kazl yake haltakluka hakl za watu hao. Utawa)iblka kutokana na hatarl ya kudalwa kutokana na kulngilla hakl za wenglne. Ukitaka kutumla tena klpengele cha kazl hll, nl Jukumu lako kuamua kama lmeruhuslwa kutumla tena na kupata ruhusa kutoka kwa mwenye hatl ya kunakill. Baadhlya mifano ya vipengele hlvl nl ma)edwall, maumbo na plcha . Kimechapishwa nchlnl Kenya kwa ufadhill kutoka kwa USAID (U.S. Agency for International Development) kupitia mradl wa Tusome Early Grade Reading Activity. ISBN: 978 9966 110 08 4 Toleo la Kwanza Klmechapishwa 2018
Utangulizi Serikali ya Kenya imejitolea kutoa elimu bora kama haki ya kimsingi kwa wanafunzi wote. Azma hii inaambatana na majukumu ya kitaifo na kimataifo yanayohitaji kila nchi kukimu mahitaji ya kielimu na kijamii ya raia wake. Ingawa juhudi zimefonywa kuhakikisha elimu inapatikana kwa urahisi, lengo kuu la serikali ni kuhakikisha kuwa wananchi wanapata elimu bora. Serikali ya Kenya imewekeza zaidi katika kuboresha vifoa vya kielimu, miundomsingi pamoja na wafonyakazi iii kuinua kiwango cha elimu inayotolewa katika viwango vyote vya elimu nchini. Mfumo wa elimu unaolengwa umebuniwa kutokana na matokeo ya utafiti wa kina. Kadhalika, umejumuisha mbinu zingine zinazokubalika na kutumiwa kimataifo. Msukumo uliopo katika mageuzi ya elimu unatokana na haja ya kuifonya elimu nchini Kenya kuwa kwenye kiwango cha kimataifo na kuwa ya manufoa kiuchumi katikajamii. Serikali inahakikisha kwamba kupitia elimu, wananchi watakuwa wabunifu na kupata stadi za karne ya 21 ikiwemo utafiti, kutatua matatizo, kufikiria kwa kina na kufonya kazi katika hali zote. Vitabu vya TUSOME vimeshirikisha maadili ya mtaala mpya na vimeandikwa iii kuimarisha uwezo wa kujua kusoma na kuandika, uwezo ambao ni stadi ya kimsingi katika elimu bora. Kitabu hiki kitatumika katika Gredi ya 1 kujifunza na kufundishia Kiswahili katika mtaala mpya. Mpangilio wa kitabu hiki unatilia maanani maantiki na mikakati inayotokana na utafiti iii kukuza stadi za kusoma na kuandika. Vilevile, mpangilio huu utahakikisha kuwa wanafunzi wanapata umilisi ambao ni muhimu kwa viwango vyao. Ninawasihi washikadau wote kuendelea kuunga mkono mageuzi yanayoshughulikiwa katika sekta ya elimu nchini Kenya iii kufikia matokeo bora.
Waziri wa Elimu
Dibaji Wizara ya Elimu imejitolea kuwapa Wakenya elimu bora kama ilivyo katika Katiba ya Kenya, ya mwaka wa 2010. Mabadiliko yanayoendelea katika elimu yanalenga kushughulikia uwepo wa elimu bora. Mipango ya utafiti kama vile T athmini ya Kitaifo ya Ufuatiliaji wa Mafonikio ya Masomo (NASMLA) na Muungano wa Kusini na Mashariki ya Afrika wa Kufuatilia Ubora wa Elimu (SACMEQ) imeangazia mianya ambayo inafoa kushughulikiwa iii kuboresha matokeo ya elimu. Matukio ya hivi punde katika mfumo wa elimu yanasisitiza uwezo wa kusoma na kufonya hesabu kama nguzo ya kujifunza katika darasa tangulizi. Umakinifu katika elimu umechangia hatua ambazo zimeimarisha matokeo ya kusoma na kufonya hesabu. Mradi wa kitaifo wa T usome umeimarisha uwezo wa mwanafunzi wa kusoma na kuandika katika Gredi ya 1 na ya 2. Matokeo haya bora yamechangia kuendelezwa kwa mradi huu hadi gredi ya 3. Kitabu hiki kimeandikwa iii kuelekeza mafunzo ya Kiswahili; kiwango cha Gredi ya 1 katika mtaala mpya. Mbinu za ubunifu katika kujifunza na kufundisha pamoja na Masuala Mtambuko yameangaziwa kulingana na mtaala mpya. Wizara ya Eli mu inatambua usaidizi wa kifedha kutoka kwa shirika la usaidizi la Marekani (USAID). Kadhalika, ningependa kutoa shukrani zangu kwa washirika na washikadau wengine kwa mchango wao katika uandishi na uchapishaji wa kitabu hiki.
lllr
Karibu darasani
1
®
Tazama picha. Eleza unachokiona.
i::
Igiza maamkuzi.
-
Hakiuzwi
Karibu darasani ®
Tazama picha. Eleza unachokiona.
•E Sikiliza hadithi. ? Jibu maswali.
i::
Igiza maamkuzi.
Ii •
Mali ya Serikali ya Kenya
lllr ®
Karibu darasani
3
Tazama picha. Eleza unachokiona. \
□
=-
7
-·- /
/ -· '
.,,/
.,,.....,..
i::
Igiza maagizo.
fl I mba wimbo. Simama kaa
Simama, kaa, simama, kaa, Ruka, ruka, ruka, ruka, Simama kaa. Tembea, tembea, tembea, tembea, Kimbia, kimbia, kimbia, kimbia Simama kaa. Hakiuzwi
Karibu darasani ® Tazama
picha. Eleza unachokiona.
anaandika
anafuta
Fuata maagizo. ii~( Maliya 'ai Serikali ya Kenya
-
lllr ®
5
Karibu darasani
Tazama picha. Eleza unachokiona.
i:: Ambatanisha picha na jina. kifutio
dawati
meza
kitabu
Chora umbo la kitabu. Hakiuzwi
Mimi na wenzangu 1 ®
Tazama picha. Eleza unachokiona. Zamira
Mimi ni Zamira. Mimi ni msichana. Nina umri wa miaka sita. Nasoma katika gredi ya kwanza. Zakaria
Mimi ni Zakaria. Mimi ni mvulana. Nina umri wa miaka sita. Nasoma katika gredi ya kwanza.
i::
Igiza maelezo.
.
Unaitwa nani?
Mimi ninaitwa
Wewe ni msichana au mvulana?
Mimi ni
Una umri wa miaka mingapi?
Nina umri wa miaka
. .
Unasoma katika gredi gani? Ninasoma katika gredi ya Ii •
Mal i ya Serikali ya Kenya
lllr ®
7
Mimi na wenzangu 1
Tazama picha. Eleza unachokiona.
•ESikiliza hadithi. ? Jibu maswali.
i:: Tunga
sentensi ukitumia maneno haya.
1. miaka 2. mvulana 3. msichana
-
Hakiuzwi
Mimi na wenzangu 1 ®
Tazama picha. Eleza unachokiona.
i::
Mweleze mwenzako kuhusu rafiki yako. 1. Mimi ninaitwa - - - - 2. Rafiki yangu anaitwa _ _ _ __ 3. Sisi tunapenda ku _ _ _ __
Ii •
Mali ya Serikali ya Kenya
lllr ®
q
Mimi na wenzangu 1
Tazama picha. Eleza unachokiona.
•ESikiliza hadithi. ? Jibu maswali.
i:: Toa
muhtasari wa hadithi.
Hakiuzwi
Mimi na wenzangu 1 ®
Tazama picha. Eleza unachokiona.
(: Tunga sentensi ukitumia maneno haya.
1. miaka 2. gredi 3. rafiki Chagua jibu sahihi. a. Mimi ni _____ (msichana, mvulana). b. Nina umri wa miaka (6, 7, 8, 9, 10). c. Ninasoma katika gredi ya (1, 2) Finyanga umbo la msichana au mvulana . Ii •
Mal i ya Serikali ya Kenya
-
Tarakimu 1 ®
Tazama picha. Eleza unachokiona.
fl
I mba wimbo. Wimbo wa tarakimu
.
.
.
tatu, tatu, tatu, moJa, moJa, moJa, mbili, mbili, mbili, madawati ni mawili, vitabu ni vitatu, kalamu ni moja, . . . tatu, tatu, tatu, moJa, moJa, moJa mbili, mbili, mbili,
.
meza nayo moJa
i:: Andika 1
.
2
na viti viwi Ii
vifutio vitatu
nambari na jina katika daftari lako. 3
moJa mbili tatu
4
5
6
7
8
9
10
nne tano sita saba nane tisa kumi
-
Hakiuzwi
Tarakimu 1 ®
Tazama picha. Eleza unachokiona.
j
•ESikiliza hadithi. ? Jibu maswali.
i:: Toa
muhtasari kuhusu kisa ulichosimuliwa .
Ii •
Mali ya Serikali ya Kenya
-
Tarakimu 1 ®
Tazama picha. Eleza unachokiona. kidole cha shahada kidole cha gumba
kidole cha kati kidole cha pete/ chanda
__,___
kidole cha mwisho
fl I mba wimbo. Uko wapi? Dole gumba, dole gumba, Uko wapi? Uko wapi? Niko hapa, niko hapa, Umeshindaje? Umeshindaje?
i::
Hesabu vidole vyako. Panga kadi za majina ya nambari hivi.
.
moJa mbili tatu nne tano sita saba nane tisa kumi Hakiuzwi
Tarakimu 1 ® Tazama
picha. Eleza unachokiona.
Moja, mbili, tatu,
nne, tano ...
--=-~
. . . ----=---
~
•ESikiliza hadithi. ? Jibu maswali.
i:: Toa
muhtasari kuhusu kisa ulichosimuliwa .
Ii •
Mal i ya Serikali ya Kenya
-
.....-.J\,~
Tarakimu 1 ®
Tazama picha. Eleza unachokiona.
i:: Ambatanisha jina na .
nambari.
moJa
3
mbili tatu nne tano sita saba nane tisa kumi
4
1 2
7 5 6
10 8 9
Hesabu vidole vya mchoro na vyako. Andika nambari hizi kwenye daftari lako. 1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8, 9, 10
-
Hakiuzwi
Siku za wiki 1 ®
Tazama picha. Eleza unachokiona.
Si~u za Wit;
fl
-
Imba wimbo wa siku za wiki.
Siku za wiki Jumamosi na Jumapili, Ni siku za wiki. Jumatatu na Jumanne, Ni siku za wiki, Jumatano, Alhamisi, Ijumaa, Ni siku za wiki. Jumamosi, Jumapili, Jumatatu, Jumanne, Jumatano, Alhamisi, Ijumaa, Ni siku za wiki. Ii •
Mali ya Serikali ya Kenya
-
Siku za wiki 1 ®
Tazama picha. Eleza unachokiona.
•E Sikiliza hadithi. ? Jibu maswali.
Hakiuzwi
Siku za wiki 1 ®
Tazama picha. Eleza unachokiona.
i::
Eleza unachofanya katika siku za wiki. Siku ya Jumamosi mimi hu._______ Siku ya Jumapili mimi hu_ _ _ _ _ __ Siku ya Jumatatu mimi hu_______ Siku ya Jumanne mimi hu._ _ _ _ _ __ Siku ya Jumatano mimi hu._ _ _ _ _ __ Siku ya Alhamisi mimi hu._ _ _ _ _ __ Siku ya Ijumaa sisi hu_ _ _ _ _ _ __ Ii
•
Mali ya Serikali ya Kenya
Siku za wiki 1 ®
Tazama picha. Eleza unachokiona.
').! .r \.
-·~-
"'" ~
~
~~~
-i
F ~~-
• ~Sikiliza hadithi.
? Jibu maswali. (: Toa muhtasari wa masimulizi ya siku za wiki.
Hakiuzwi
Siku za wiki 1 ®
Tazama picha. Jaza mapengo.
Jumanne
(: Jaza mapengo. Jumamosi
Jumatatu
Jumatano
Alhamisi Panga majina ya siku za wiki ipasavyo. Jumamosi Jumatano Jumatatu Ijumaa Jumanne
Jumapili
Andika maneno haya katika daftari lako.
1. Juma 2. Wiki 3. Jumatatu Ii •
Mali ya Serikali ya Kenya
m
Alhamisi
Familia 1 ®
■
Tazama picha. Eleza unachokiona. Taja jina la herufi na utamke sauti. m
i:: Eleza uhusiano wa watu wa familia.
El
Hakiuzwi
Familia 1 Tazama picha. Eleza unachokiona.
®
Majukumu ya watu wa familia ■
Taja jina la herufi na utamke sauti. M
'